Hebrews 10:37-38

37 aKwa kuwa bado kitambo kidogo tu, “Yeye ajaye atakuja wala hatakawia.

38 bLakini mwenye haki wangu
ataishi kwa imani.
Naye kama akisitasita,
sina furaha naye.”

Copyright information for SwhKC